Habari za asubuhi wakuu, nimerudi tena kwenye jukwaa hili la sheria ili nilete mrejesho wa kesi yangu mwajili. Kama ambavyo nilishauriwa hapa kwamba nifike CMA mapema ili niwasilishe malalamiko yangu kwa sababu kuna jambo haliko sawa. Ni kweli niliwasilisha malalamiko yangu CMA mapema ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.