Kwani Kim jong un alikaa mafichoni kwa muda gani.
Hizi ni mbinu za viongozi wenye akili kujificha kwa muda ili wawajua wabaya wao
Na pia ujue ili uelewe vizuri mchezo inabidi utoke nje ta mchezo
Mkoa unaongoza kumchukia magufuli ni watu watu arusha, ikifuatiwa na Mbeya.
Ni wale watu waliozoea kitonga mteremko madili yapigwe serikalini wao watereze tu Sasa mkulu kawabana Kila mtu ale kwa jasho lake halali.
Hivi hamjiulizi Kama kweli magu yupo india mbona viongozi wakubwa wote wapo...
Kama ilovyokuwa kwa wanna jf wengi humu ndivyo ilivyo kwa jf pia wanasikilizia wakisikia mh.hali imetengemaa huu uzi wanaufuta chap.
Kweli raia mna roho za korosho pamoja na yote haya aliyoyafanya magu bado hamuludhiki.mungu ni wa ajabu Sana wakati unasubilia mwenzako afe ndipo unapokuja...
💯 mijitu ya humu jf inashabikia mtu afe hiyo ndio ile mijitu ambayo ilizoea kuteleza short pass halafu itoboe kimaisha kiulaini Sasa magu ameibana fedha kazipeleka kwenye maendeleo inalia Lia na magu.na semaje wewe ambae unashabikia mwenzako afe utatangulia wewe pumbaaff
Huu uzi umewafanya watu hamlali kamA vile mkisubili update. Ila kamA ni kweli hii report naiona ile miladi mikubwa sgr,bwawa la umeme yaani vichwa panzi watarudi Tena na kujikitia mizizi kamA serikali ya ukoo wao vile
Tuliona Babalevo akijinadi kuwa watu wanamuonea wivu kisa kanunuliwa gari ya million 26 na Diamond pia alijisifu kulipiwa mamilioo kwenye video ya shusha ambayo bado .kwa msisitizo zaidi akasema atamuomba boss wake diamond amjengee kanyumba kadogo kakuishi.jana Tena kawapeleka watoto wake wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.