Recent content by ngina25

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotafuta nyumba za kupanga Dar

    Mambo vip mzee! Mi nahitaji rum moja(master itakuwa poa) na sitting room,jiko...kijitonyama,mwenge,msasan au kinondon,sehem iwe decent kidogo,bajeti yangu 100-150.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule kinahitajika

    100,000-140,000
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule kinahitajika

    Habari zenu. Nahitaji chumba( master) na sebule,jiko..maeneo ya kinondoni au kijitonyama,,anayeweza kunisaidia asanteni
  4. N

    JamiiForums Tanzania Interview-Puma Energy Graduate Trainee

    Operations
  5. N

    JamiiForums Tanzania Interview-Puma Energy Graduate Trainee

    Jumatatu mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Interview-Puma Energy Graduate Trainee

    Habari wanajamii. Nimepigiwa simu na Puma kuitwa kwenye interview mwisho wa week hii. Kwa anaejua interviews zao zinakuaje,just an idea. Thanx kwa msaada chanya.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship

    Habari wanajamii! Natafuta internship wadau,kwa yeyote anaeweza kunisaidia nitashukuru. Nimegraduate mwaka jana,nina shahada ya uchumi. Ahsanten,kwa mawasiliano,pm or 0764056210
  8. N

    JamiiForums Tanzania Interview PPF

    Wewe ndo unaepiga simu? Ungeishia tu kusema interview 26th usivunje watu moyo,,shukran kwa taarifa mkuu
  9. N

    JamiiForums Tanzania NHIF call for Interview

    Nimesoma mara mbil mbil sion ppst niloapply nikasema labda nimesahau niliapply nin,nikaenda kwenye tangazo lao nimekuta Planning and Investment officer 1post,,itakuwa kapewa mtu nafasi,,ila naamin waliaapply weng hiyo post,km wameona kwenye usail ipp,naomba wanijulishe ila mm sijaona
  10. N

    JamiiForums Tanzania NHIF call for Interview

    Mm niliapply planning n investment officer,kwenye list walotoa gazetin haipo,ishachukuliwa?au wameshau?huu usail wizi mtupu
  11. N

    JamiiForums Tanzania NHIF call for Interview

    Inawezekana watu walishaanza na kazi,miezi mitatu hawakuweza kuchambua cv? Na watu wanaapply sehem nyingi,wengine wameshasahau waliapply post gan. Okay,watu wataenda, watamark kwel?for another 3 months? Its really doubtful,,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kazi Coca-Cola Jamani

    Wanapiga simu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hizi St.Kayumba ni tatizo

    Kama yeye sifuriii,jaribu wewe kumuangalia anaweza kufit wap,,ilo jibu lake "chochote" ni hatar sana
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mchongo - Chinese Government Scholarship 2014

    Watu wanakosa nafasi kwa mentality za ajabu ivo ivo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale wa CPA(T)

    Utaanzia A,utapewa exemptions mbil tu kwenye hiyo module A,uwe na first o low class,,,an economist too and dd cpa
Back
Top Bottom