Recent content by Ngika90

  1. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    DIT wamekupiga chini. Vijana hamsomi kwa bidii, matokeo yenu ya kuchechemea.
  2. Ngika90

    JamiiForums Tanzania ''Usimuone vile Kambarage ana Kibega'' Dossa Aziz

    Hakuna uwezekano wa kununua soft copy? Maana nipo nje ya Dar
  3. Ngika90

    JamiiForums Tanzania ''Usimuone vile Kambarage ana Kibega'' Dossa Aziz

    Naweza kupata nakala ya kitabu hiki, hasa pdf ?
  4. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

    Fanya usafi, acha masingizio
  5. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Tuition Tuition Tuition.

    Physics na Mathematics hujaweka maelekezo na gharama zake, umesema tuwasiliane kwa namba za simu. Mbona Biology na Chemistry imeeleza vema. Kama hakuna mwalimu wa Physics na Mathematics, usitajetaje ujanja. Focus on the subjects or modules with availability of teachers.
  6. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Nisome nini chuoni mwaka huu 2025?

    Subiri matokeo yatoke then uje tukupe ushauri. Lakini kwa sasa fikiria kuhusu program zifuatazo. 1. Bachelor of Science in Biomedical engineering (MUHAS) 2. Bachelor of engineering in Biomedical engineering (DIT) Kama utakosa sifa za kupata hizo course, njoo tena.
  7. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa bunge la Tanzania, 1965-2025. ( Na Mawaziri)

    Tafadhali angalia wawakilishi na viongozi wa Tanzania. Kuna viashiria vya urithi katika siasa.
  8. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hesabu online bure kabisa (Tanzania)

    Huo ni upotoshaji
  9. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hesabu online bure kabisa (Tanzania)

    Hujui tofauti ya Hesabu (Arithmetics) na Hisabati ( Mathematics).
  10. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Bachelor of computer science Jordan university college

    Vyuo vizuri ni vingi e.g UDSM, DIT, etc.
  11. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Bachelor of computer science Jordan university college

    Computer Science bado ni course nzuri sana kusoma. Ushauri, tafuta chuo kingine badala ya hicho.
  12. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu!

    Aina ya maswali ya zamani. Hovyo kabisa.
  13. Ngika90

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa nimepata supplementary masomo matatu

    Vijana hamsomi, kutwa nzima mnaongelea mpira, mademu na ndoto za uongo za biashara. Msivyojielewa na past papers za UE umeshatupa. Shenzi sana.
Back
Top Bottom