Recent content by NGIDO JACKSON

  1. N

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Duuuuh nimecheka sana humu khaaa
  2. N

    Naomba mnisaidie hiki?

    Kuna moment fulani ambazo huwa zinanitokea lakini sijazielewa bado. Kuna vitu huwa vinatokea kweli japo ni Mara chache huwa ninakua nimeshaviota ndotoni? Inakuwaje mambo ambayo hayajatukia uyaote? Na kwann wakati mwingine hutokea vilevile katika uhakisia? Wanajimu na wanauwanja naomba mnisaidia...
  3. N

    Kamata fursa kwa mtajiii mdogo sana wa 50000 tu.

    Terms na condition hizi hapa tusome Terms and Conditions By signing up for membership, you agree to the following Terms, Conditions and Disclaimers : This service is provided on an as is, as available service. We make no warranties of any kind, either expressed or implied.Under no...
  4. N

    Natafuta eneo la kufuga kuku Dar!

    Asante sana Bro
  5. N

    Natafuta eneo la kufuga kuku Dar!

    Asante Swabians Bro GIMMY
  6. N

    Natafuta eneo la kufuga kuku Dar!

    Nakaribia kumaliza masomo yangu sasa na nina wazo la kufuga kuku wa Mayai hapa Dar es Salaam Mtaji wangu ni millioni 1 natafuta eneo na kuku wa kuanzia!! Naomba ushauri na Maelekezo Ushauri namba 0715730140
  7. N

    Kwanini Watanzania tuko tofauti na Waafrika wengine?

    Utu, kuheshimiana, busara, upole, wema, huruma, kusaidia na kupendana ni asili ya tunu ya ustaarabu tuliyonayo.... Lakini kutokana na maisha jinsi yalivyo sasa hivi tunauana, tunadhulumiana, hatujakuasi, hatupendani, sasa ustaarabu uko wapi hapa?????
Back
Top Bottom