Naomba mnisaidie hiki?

NGIDO JACKSON

Member
Jun 17, 2016
7
0
Kuna moment fulani ambazo huwa zinanitokea lakini sijazielewa bado. Kuna vitu huwa vinatokea kweli japo ni Mara chache huwa ninakua nimeshaviota ndotoni? Inakuwaje mambo ambayo hayajatukia uyaote? Na kwann wakati mwingine hutokea vilevile katika uhakisia?
Wanajimu na wanauwanja naomba mnisaidia
By.Kim Gson
 
Back
Top Bottom