Recent content by ngengenge

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Nape ni kauli ya kuiogopa CHADEMA

    attack is best strategy lakini nadhani Nape kashindwa ku apply kilichobaki ni kudhani .hapa kunakazi ya kumuweka sawa kijana bila hivyo kuanaanguko mwisho tutahihitimisha kwa kusema mkia ndio utikisao mbwa na si mbwa kutikisa mkia maaana hawa wenzetu uwezo wa kufikiri na kudadavua masuala ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SHOGA WA KIKE anataka anizalie (Nimzalishe) mtoto!

    hiyo ni biashara but zingatia nafsi yako inajibu gani maana mob saikoloji has no brain na wewe ndio unajua mazingira yote mpaka kufika kuombwa mtoto au watoto kwa kifupi ulilolitoa ni behind the scene
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msikilize Nape akiinadi CHADEMA

    nina wasiwasi nawe yawezekana una urithi wa bendera hapo kwenu haiwezekani ukawa huoni waala tambua ushenzi na uzandiki wa ccm ndani ya nchi hii amakweli kuona kusikia na kutendewa na kutenda ni vitu usivyovitofautisha tusaidie mbunge wko nani? au wewe pia ni mbunge toka ccm maana huko ndiko...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Katiba au Tume ya Muungano-Warioba atia aibu Tanzania

    nadhani kuna haja ya kufafanua maana halisi ya rasimu ya katiba ndipo watu wje na hoja kama hizi
Back
Top Bottom