Mkuu umetwambia ktk chama chenu km kuna matatizo yanamalizikia ktk vikao.Je mbona Lema alituma waraka wa kumshutumu ZZK na hatujackia kiongozi yeyote anazungumzia juu ya hilo?
Wana Jf kwa wale mlioona taarifa ya habari kupitia Star tv mtakumbuka kuna mama mmoja aliyekua akiomba msaada wa 600000(laki sita) ili mwanae afanyiwe upasuaji ktk hospitari ya Bugando hivi kweli kwa serikali makini mtu mwenye tatizo km la yule mama kuna haja ya yeye kuomba msaada? Naomba...
Chunvi mara zote kwenye mboga haikosi lawama,ikizidi utasikia chunvi imezidi! Ikipungua chunvi kidogo! Usipoiweka ndo kabisa zogo! Ualimu sasa umeshakua karaha tupu hivi sasa wanafunzi wakifaulu kwa wingi utackia raia wakisema wlm wamewaonesha majibu,wakifeli wengi utackia walimu siku hizi...
Ndg,wanajanvi ninaomba yeyote anayefahamu juu ya mstakabari wa wahitimu wa vyuo vya mifugo na kilimo maana ni bajeti 2 zimesomwa na @ bajeti ktk wizara ya mifugo imekua ikionesha kua serikali inatarajia kuajiri maafisa mifugo& kilimo lkn hakuna aliyeajiliwa mwaka wa 2 tangu kuhitimu nawasilisha.
Jamani wananchi wa Kongwa mnafikiri kwamba ugumu wa maisha yenu ni laana kutoka kwa Mungu?
Si hivyo bali ni uzembe mkubwa unaofanywa na serikali ya CCM chini ya mbunge wenu Job Ndugai tafakari chukua hatua.
Ndg! Wana Jf mtakumbuka kwa walioangalia taarifa ya habari juzi wananchi wa Mbalali wanalalamikia soko la mchele serikali ya ccm imeagiza mchele toka nje bila kufanya uchunguzi sasa wameua soko la ndani mkulima analima pekee yake bila msaada ya yeyote akivuna anapangiwa mahali pakuuza.
Ndg wana Jf naomba kujua mimi nimeajiriwa march 20015 lkn mpaka sasa walimu wote tulioajiriwa nao ktk wilaya ya biharamulo hatujapanda madaraja bado tupo c.Je? Na kwa wilaya zingine ni hivyo?
Wana JF ktk wilaya ya Biharamulo walimu wanashindwa kupandishwa vyeo vyao kwa wakati kwa sababu ya udhaifu mkubwa uliopo hapa kweli Big result now itawezekana?
Waislamu ni watu wa vurugu tu mnatumia muda wenu mwingi kujadiri udini na ndo maana hamuendi shule lkn mnataka uwiano sawa ktk ajira itawezekanaje? Jaribuni kwenda na maisha sio kushindia vurugu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.