Recent content by ngelemakumulu

  1. N

    Veta interview through delotte

    waliokuwa interviewed na deloitte vipi veta wameshaita? Mwanzoni kupitia jukwaa hili kuna mdau alisema wameambiwa labda february kwa sababu serikali haina fedha.kuna mdau yeyote mwenye taarifa zao?tafadhali mtujuze.
  2. N

    VETA vip?

    wale waliokuwa interviewed kupitia delloite?wameshaitwa au bado?hembu wadau mtujuze
  3. N

    sijafanya nae MAPENZI...lakini mazingira yanashitaki!!

    Unachofanya ni sahihi kabisa, kama hujamjua mungu au hujampokea yesu kuwa bwana na mwokozi wako tafuta watumishi wa mungu wakuombee usije ukaanguka, jitunze na mungu atakutunza kwani housegirl akikuona mjinga ukaheshimika kwa mungu aliyekupa uhai na hizo nguvu wanazoshabikia uzitumie kwa h/girl...
  4. N

    Kuitwa Kazini VETA

    Haya bwana bado tunasubiria huku tunaomba mungu, tuendelee kujuzana
  5. N

    Kuitwa Kazini VETA

    Kweli uvumilivu unahitajika namungu ni mwaminifu atajibu kwa wakati wake kwani yeye hachelewi wala hawahi
  6. N

    Kuitwa Kazini VETA

    ni kweli wiki tatu zimeshapita na zaidi wadau mlioitwa pale delloite wengine hebu tupeni taarifa tufahamu, kulikoni mpaka sasa, na mimi bw. Mdogo alienda hajapata jibu lolote hadi leo.jm tupe taarifa
  7. N

    Nafasi za Kazi VETA

    duuh!!!!???????haya bwana let them wait the time will come,
  8. N

    Nafasi za Kazi VETA

    jamani veta vipi baada ya interview ya tarehe 17/10/2011 pale ppf tower, kuna dogo aliomba, hawajatoa bado majina ya nafasi kwa waliopata?wanajf mwenye taarifa tujuzane.
  9. N

    Nafasi za Kazi VETA

    Hebu wenye habari za hizi tujuzeni tujue kwani kamda nako kameenda, na waliokuwa interviewed still wanasubiria!!!!!???
  10. N

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    My self i am having my own business,(silali njaa) of course.i can run different income generating activities and entrepreneurship skills training!!!!?do you think how much they worth?i am having people who can work even in my absent. I need to put my knowledge and skills to other training...
  11. N

  12. N

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    Thanks Mkuu,Naomba e mail yako ili nikutumie e-mail yangu kwa e mail
  13. N

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    My self i am employed in local productive poultry keeping.i am having 400 poultry.my certificates are on food processing skills to add value and life span for agricultural, honey processing and packaging,candle making skills, entrepreneurship development skills, courses on how to start business...
  14. N

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    Nataka nifundishe wengine nao wajiajiri, employment ni tatizo nikipata organization inayohitaji wataalamu kama mimi nitawafikia watu wengi zaidi ili wajiajiri.
  15. N

    Entrepreneurship and income generating activities expert

    I am an expert in entrepreneurship development skills. If there is an organization which can employ me in this field, please jf members keep me informed. I am having first degree in marketing and different certificates of participation in tot for income generating activities to entrepreneurs.
Back
Top Bottom