me nadhan uwajibikaji hauangalii elimu ya mtu though RC makonda anafanya kaz vzur maswala ya elim yake hayan nafasi ktk possion yake me nampongeza San shujaa huyu
me nadhani ni mambo ya visasi tu vinavyofanywa na watuhumiwa wa madawa ya kulevya binafsi naipongeza San kaz ya mh makonda ila tu atumie utaratibu mzuri wa kuwatia hatiani wanaojihusisha na biashara haramu za madaw ya kulevya ili kuondoa hivi visasi vinavyomkabili
ifike time sasa watanzania tuheshimu mapenzi ya watu izi ni mbinu za uchochez tu za kuvuruga mapenz ya mond na zari maadam zar mwenyewe anasema mtt ni wa mond bas acha awe wa mond Ivan kafananishw but ukwel halis anaujua zari hivyo tusijaji san
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.