Recent content by Ngekewa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC yamumunywa na Simba SC Kambarage, Mwadui 0-3 Simba

    Inawezekana kuwa timu hizi zilipokutana mmoja alinunua na mwengine akatumia utaalamu wake. Pengine jawabu la suala lako ungepitia hiyo mechi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ingawa kuna watu wanasema kwao ni ibada

    Dadaangu, watu wanapoishiwa na lakufanya hutafuta upuuzi na kufanya issue. Ndevu na sharubu ni mambo binafsi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Yanga yakabidhiwa kwa Manji aiendeshe kama club Binafsi

    Ulishasema ni yake au unataarifa kakodishwa na nani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kipindi Wakimataifa wakiendelea kulifedhehesha Taifa, Mnyama atakataka kisawasawa Morogoro

    Haruwa gani wamepita? Hapo walipo ni ujiko baada ya kutolewa na Waarabu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba inaniacha hoi sana

    Kauli thabiti na hadi ulipowajibu walikwishajionyesha wote kuwa wana akili za mbuni, kuficha kichwa na mwili uko wazi. Naam Tambwe aliachwa akiwa mfungaji Simba na Kiiza aliachwa akiwa mfungaji Yanga sasa tatizo liko wapi? Halafu Kiiza huyo huyo alieachwa Simba alianza kuachwa Yanga jee kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania TIC: Clarification on the Allegations by The Ecomomist about Pres. Magufuli and Tanzania

    Umenena! Hili lakutufanya wajinga si sahihi. Hivyo TIC na ukiritimba wake inaweza kuandikisha kiasi kikubwa hicho? Halafu hao wawekezaji huwa wanaamka tu na kuwekeza? Hebu TIC tuheshimuni na kuacha kutufanya hatujui chochote!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Kulikuwa na sababu ya kuwatusi? Au makabila mengine hawajui kumtusi mtu? Ukweli unampa mwenye makosa lakini anaekosewa hutumiwa lugha yengine kumwambia ukweli. Rais anapowaita vilaza alikusudia kuwasaidia au kuwakomoa? Busara haina gharama yoyote!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Kwi kwi kwi, tuseme ni moja ya sababu ya kukacha mikutano ya nje?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Nafikiri akili ingekuambia kuwa asiekuwepo ndie anahitaji kuwepo, Bunge la Tanganyika ni lipi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Kwa kweli Kessy ameeleza ukweli lakini amekosea kuwataka Wabunge wa Zanzibar kutoka kwenye Bunge la Jamhuri ya Tanzania. Jambo lililo sahihi hapa ni kwa Wabunge wa Tanganyika kutoka kwenye Bunge la Muungano na kwenda kutafuta Bunge la Tanganyika. Kessy na wenzake waende wakaunde Bunge la...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama mimi?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Gonga like kama umependa!

    Sio ishu ni kuwa kama ni vitu viwili basi vipatikane vyote kwa usawa ili uchague.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hili tunda kwa lugha ya kwenu mnaliitaje?

    Hongera sana kumbe wamo!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hili tunda kwa lugha ya kwenu mnaliitaje?

    Sawa sawa na Kiswahili. Unajuwa neno shawishi lina msingi wa Kiarabu?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hili tunda kwa lugha ya kwenu mnaliitaje?

    Waarabu wanaita Rumana, pengine wamepata kutoka hicho Kisomali.
Back
Top Bottom