Simba inaniacha hoi sana

Mikia mwakani tena wataendelea kuwa wa matopeni, wamesajili wanamuziki toka Congo.
 
Simba si imebaki kikundi cha ushangiliaji???hivi wanasubir Modeama wawashangilie kama walivyofanya kwa mazembe
 
Washabiki wa simba ni mazuzu ndio maana viongozi wao wanawaburuza tu kuliko kushabikia simba bora ushabikie Mwadui fc
 
Chongeni tu,maana ndiyo kazi yenu.Kiiza hajaanza kuachwa na simba.Hata nyinyi yanga mulimwacha.Hivyo suala la nani acheze simba ni la wanasimba na si Yanga.
Kauli thabiti na hadi ulipowajibu walikwishajionyesha wote kuwa wana akili za mbuni, kuficha kichwa na mwili uko wazi. Naam Tambwe aliachwa akiwa mfungaji Simba na Kiiza aliachwa akiwa mfungaji Yanga sasa tatizo liko wapi?
Halafu Kiiza huyo huyo alieachwa Simba alianza kuachwa Yanga jee kwa kuichezea Simba kageuka kuwa mzuri sasa? Isiwe tabu Yanga mrejesheni kikosini
 
Back
Top Bottom