Lengo la Dhaka katika ni dini ni kuwasaidia wengine wasiokua na kitu ila inatofautiana katika namna ya masharti ya utoaji kati ya uislam na ukristo katika ukristo unapaswa kutoa kwa kiwango chako cha kipato na upeleke katika nyumba ya ibada lakini katika uislam si kila kipato kitolewe ila...
Habari wanajf kwa mtazamo wangu jambo hili linawezekana kufanyika lakini si haraka hivi
Jana mkulu wetu alipokuwaziarani alitoa maagizo ujengwe ukuta, Leo jenerali kaenda kukagua eneo la kuanza kujenga eneo husika
Kwanini nimeita maigizo ni hivi jambo lolote kubwa namna hii ni kwamba lazima...
Hats yeye lowassa alijua hayo ni mambo ya kisiasa ndio maana akahamia cdm bila kinyongo kwani anatambua ccm kuna mijizi na ukweli ndio huu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndege zinasaidia nini wakati wananchi masikini ambao nauli ya basi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni shida na anakufa kwa kukosa dawa kwanini watu wenye akili wasikosoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa naona kalewa ndio kaandika,kwanza ujue accacia sio wakwepa kodi na binge ndio chombo cha kuisimamia serikali na wala si upinzani,accacia ingekuwa wakwepa kodi VIP serikali ifanye mjadala nao tena Wa siri bado tu unaandika huu ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.