Uchanguzi wa mwaka huu ulikuwa auna ushindan kwakuwa warioudhulia katika kupinga kula ni wachache wengi tayari walikuwa wamekwisha mtambua mshind ni nani kiongoz yoyote Tanzania tangu nizaliwe sijawahi kuona katolewa madarakan baada ya miaka 5 wengi wao wamemaliza miaka ypte 10 nadani ushindan...
kiukweli kwangu mimi ni hapa list
mad ice - baby gal
alcom- selina
yaki _ tonight
caz t- nakuhitaji
make tee - nampenda
kwakuwa ni merody kali kila ngoma ina ujumbe unaokosha hisia za watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.