Recent content by ngawada

  1. ngawada

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Irani na Israel sio Maadui. Tulidanganywa

    Ngoja tuone yanayoendelea
  2. ngawada

    JamiiForums Tanzania Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Ni hatari kubwa, Dunia inapita kwenye wakati mgumu sana Mungu atunusuru
  3. ngawada

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Umeachwa njia panda mkuu
  4. ngawada

    JamiiForums Tanzania Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

    Kweli kabisa mkuu
  5. ngawada

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yafanya mashambulizi makubwa ya makombora na drone kuwahi kutokea

    Kila upande vita daah atari sana
  6. ngawada

    JamiiForums Tanzania Waliolazimisha watu kupewa chanjo ya Corona wakamatwe

    Duuuh iyo kali
  7. ngawada

    JamiiForums Tanzania BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    Aya sasa
  8. ngawada

    JamiiForums Tanzania Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Watu wanamkataa Alie waumba kweli wanadamu vibuli sana lakini ipo siku atajua kama yupo Mungu akitaka atajua
  9. ngawada

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kilimo cha nyanya tupeane maufundi ya kupamba na hali ya mvua

    Ndio mkuu maana izi dawa zipo nyingi sana kama una utaramu unashindwa kujua utumie ipi
  10. ngawada

    JamiiForums Tanzania Wadau wa kilimo cha nyanya tupeane maufundi ya kupamba na hali ya mvua

    Wadau na watalaamu wa kilimo cha nyanya hali ya mvua inatishia kwa uzalishaji wa nyanya tupeane mbinu mbalimbali za kupambana na hali iih ni sumu gani zinafaa kupuliza? Natanguliza shukurani
  11. ngawada

    JamiiForums Tanzania Hamas sasa ndio wanaanza kazi wanaingia phase ya pili kwa kasi

    Yani inagharimu sana maisha ya watu
  12. ngawada

    JamiiForums Tanzania Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

    Ii vita iishe jamani maana watu wanakufa
  13. ngawada

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Ngoja niende kutalii sasa
Back
Top Bottom