Recent content by Ngaureone

  1. Ngaureone

    JamiiForums Tanzania Kwa wote walioomba vyuo kupitia Nacte

    Naomba kuuliza wana JF ! Kati ya Masters in Community economic development (MCED) na Masters in Social work (MSW) ni ipi ni nzuri zaidi kudeal na jamii hususani kwa mtu mwenye msingi wa digrii ya ualimu na anataka kujikita zaidi kwenye jamii? Naomba mchango wenu wadau.
  2. Ngaureone

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Moto Morogoro: Godbless Lema ataka Mamlaka ziwachukulie hatua Polisi/Fire Morogoro kwa uzembe

    Kabisa uchunguzi ni muhimu kwa jambo hili
  3. Ngaureone

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Mbaya zaidi janga linapotokea tunasahau mara moja! Elimu zaidi inahitajika
Back
Top Bottom