Ajali ya Moto Morogoro: Godbless Lema ataka Mamlaka ziwachukulie hatua Polisi/Fire Morogoro kwa uzembe

Binafsi namuonaga Lema ni very intelligent ata kama wanadai akwenda shule; angekuwa amesoma ina maana level zake zingekuwa balaa jamaa ukimsikiliza mara nyingi kwa hoja zake bungeni ni on point only unpolished.

Hata kwenye korosho alikuwa wa kwanza kuelezea theoretically what will happen wakampuuza na ndio kilichofuata exactly to date.
Siri ya mafanikio yake ni kusoma vitabu vya kuongeza maarifa.
Cha kushangaza wanaoitwa wasomi tangu wamalize shule hawajawahi kusoma kitabu hata kimoja zaidi ya kunukuu misemo mbalimbali ya watu maarufu
 
kweli akili ni nywele watu wanaongea mambo ya kutia huzuni mpumbavu mmoja anaongea upumbavu wake shameless
Eti shameless

Hizo lugha za watu mdogo wangu kama uijui unavunga tu sio lazima ujitie kutumie lugha husiyoifahamu vizuri.
 
Siri ya mafanikio yake ni kusoma vitabu vya kuongeza maarifa.
Cha kushangaza wanaoitwa wasomi tangu wamalize shule hawajawahi kusoma kitabu hata kimoja zaidi ya kunukuu misemo mbalimbali ya watu maarufu
I agree lazima ni msomi mzuri wa vitabu kwa sababu kuna mambo anayo ongelea huwa anatolea na logic behind ikibidi afafanue.

He has a sharp mind and high reasonability ukimsikiliza.
 
I agree lazima ni msomi mzuri wa vitabu kwa sababu kuna mambo anayo ongelea huwa anatolea na logic behind ikibidi afafanue.

He has a sharp mind and high reasonability ukimsikiliza.
Watu wengi tunadhani usomi ni kupata ma division one na ma degree ya vyuo.
 
Baada ya hii ajali ya moto kutokea,Godbless Lema ambae bila shaka ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, jana tarehe 10/08/2019 kupitia mtandao wa twitter, alizitaka Mamlka husika kuwachukulia hatua Polisi/Fire mkoa wa Morogoro kwa uzembe ambapo alipingwa vikali na baadhi ya vijana wa Lumumba ambao walimbeza kuwa anaeleta siasa katka jambo hili.

Nashukuru leo Waziri Mkuu ameamua kuunda tume kuchunguza jambo hili na sasa nasubiri kuona hawa vijana waliombeza Lema watakuja na kauli gani baada ya ripoti kutoka na hatua kuchukuliwa.

Hizi hapa chini ni tweets za Godbless Lema za siku ya jana kuhusiana na ajali hiyo ya moto:

Eneo la ajali ya moto Morogoro ni karibu na Polisi/barabarani.Polisi walipaswa kulinda eneo.Watu wanauliza kwanini watu walienda kuchota mafuta? hakuna jibu linalo ondoa wajibu wa Polisi ktk kulinda uhai wa raia,ni sawa na kumuuliza mtu kwanini amenunua Tv wkt mtaani kuna wizi?

Uzembe mkubwa Polisi/Jeshi la Zimamoto wamefanya,ajali kama hii Polisi walipaswa kuzingira eneo lote ili Zimamoto washugulike,ingekuwa ni kuzuia mikutano ya kisiasa wangefanikiwa,nimetazama picha kuanzia mwanzo watu wanavyo chota mafuta unaona kuwa hili jambo lingeweza kuepukika

Nina toa pole kwa msiba mkubwa uliotokea huko Morogoro kwa ajali na kulipuka kwa gari la mafuta na kusababisha vifo/vilema.Natoa wito kwa Mamlaka za Serikali kuchukua hatua kwa Polisi/Fire Morogoro,kwa uzembe mkubwa ktk kusimamia ajali ya aina hii haswa baada ya kuwa imetokea
Kweli mwehu hueleweka na wehu,Mbowe akupe hata kacheo kamanda
 
Lema mmoja ni wabunge 40 wa CCM.
Binafsi namuonaga Lema ni very intelligent ata kama wanadai akwenda shule; angekuwa amesoma ina maana level zake zingekuwa balaa jamaa ukimsikiliza mara nyingi kwa hoja zake bungeni ni on point only unpolished.

Hata kwenye korosho alikuwa wa kwanza kuelezea theoretically what will happen wakampuuza na ndio kilichofuata exactly to date.
 
kama anaona polisi walishindwa kuwazuia watu angeenda yeye kwani anakatazwa?,polisi au fire wangekuwa karibu wangewaacha watu wakachote mafuta?,majanga mengine ni vigumu kuyadhibithi
 
Back
Top Bottom