Angekuwa hivi miaka yt heshima ingekuwa juu sana. Lakini aliharibu sana kuingia mitaani akisema Mungu kasema Mrema awe rais wa nchi hii.
Af Mungu wake akashindwa kuzuia kile alichokiita kakobe wizi wa kura wa ccm
Ni lazima slaa ama lipumba wagombee? Ccm wanabadilisha. Ukawa hakuna zaidi ya hao? Basi itakuwa ni aibu kubwa sn km hakuna wengine kuwa Rais. Vipi kesho akifa slaa na lipumba. Ukawa ndo itakuwa mwisho?
Mi nlipata ajali ya bike pale mawasiliano towers. Kifuniko cha goti kikamuvu kushoto. Nkachukua bike nkaendesha hadi hosp. Nlipopona nkaendelea na bike. Why suffer psychological anyway if u know anytime anything bad might happen
Mkiona mnauhakika hao ni wezi, halafu mkaona hakuna aliye tiari kupoteza muda kwenda mahakamani kutoa ushahidi ili mtu afungwe, na mkaona kifungo atakachopata hakiendani na kosa. Mnafikia uamuzi wa kummaliza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.