Recent content by ngapoleka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani - Tanzania: Nani anawajua wapigania uhuru hawa wanawake?

    Huyu Mzee ninamuheshimu sana ana mambo mengi yenye faida kwa wanaotaka kujua
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

    Alikuwa Mpembenue sio Mpelembwe
  3. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Wote watoe kisha tupime
  4. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Ila Hawa wajuzi wa mambo haya waanze na elimu ya awali kwamba: 1.majini ni nini 2.nini historia yao 3.nini lengo la kuumbwa kwao 4.wanaishi wapi 5.nini mahusiano yao na wanadamu Haya nadhani yanaweza kupunguza mengi ya maswali maana inaonyesha watu wanachangia wasichokijua.
  5. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Kama unaweza kutaja binadamu wepi ni wema na wepi wabaya basi na majini utaweza.Wao ni jamii kama tulivyo binadamu au kuna binadamu Fulani wema na wengine wabaya?
  6. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Wewe upo dunia gani huoni kwenye TV na hata vipindi vya redio wachungaji wanaendesha maombi kila siku na watu wanaanguka je Wale ni wanawake wa kiislamu?
  7. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Majini ni kama binadamu wapo wema na waovu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na watu wote wanaotangazia dunia kuwa Tanzania si sehemu salama washitakiwe kama wahaini au wahujumu uchumi

    Kwa sababu hatukuzoea haya yanayoendelea. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Hawafahamu Hawa mashetani kuwa atakalo Mungu ndio huwa na si vinginevyo.Wameadhirika mwaka huu hawana pa kushuka mwisho wao hauko mbali wasubiri Anguko lenye mkono wa Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Maneno hayoooooo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Mambo mpwitompwito Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

    Usemacho haswaa ndicho kilichopo watu hawajui katiba yao wanafuata mawazo na mhemko tu,mwenzao kwa kuwa ni Msomi kawakamata kwenye Sheria wao wamebaki na magazeti.Kama upinzani tulionao ndio huu CCM itatawala mpaka ilete balaa maana Akili zao zimechoka ila warithi wenyewe hamna kitu. Sent using...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

    Huu mchezo hauhitaji hasiraaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

    UKAWA si chama ni umoja vyama vipo na vinatakiwa viwepo katika asili yake kwa Afya ya siasa ya nchi.Huyu Maalim ndiye Mara zote amekuwa anaingia kwenye uchaguzi anaporwa Halafu anakwenda katika mazungumzo na wezi wake tena akiwa peke yake huku CCM wakiwa wengi. Kinachoendelea ni kwa wazanzibar...
Back
Top Bottom