Recent content by nganzosaidi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong

    Hili nalo ni neno nafikiri tunajifunza mambo mengi pamoja na serikali kuboresha maisha ya wabongo kwani gap kati ya walionacho na wasionacho ni kibwa na linazidi kukuwa siku hadi siku vijana watakimbilia wapi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dr.Edward Hoseah ataka kuletewa ushahidi mezani,kuhusu rushwa

    Dk. Hosea ana kazi kubwa ambayo ni kuelimisha umma kuhusu Rushwa. It seems watu hawajui chochote kuhusu chombo hichi,siri ya mtungi anaijua kata. kaeni chini mfikiri baadae ndo muongee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mkali DJ JD 'John Dillinga' is Back............

    Jamaa alipotelea wapi, au ndo kufulia kwenyewe huko achelewi kusema nilikuwa states
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hodiii humu ndani..!

    Jamani bila shaka mmenikaribisha, na nashukuru nategemea tutakuwa pamoja kujadili kila linalo jili katika ulimwengu huu wa PANGU PAKAVU TIA MCHUZI........TEHTEH
Back
Top Bottom