TZ kutamu asiambiwe, juzi nilikuwa kigoma, basi likasimamishwa, jama wakamshuku shap yake ilivyo ya kirwanda, wakamuuliza swali dogo la kitoto akajichanganya " asiulizwa kwamba JK toka ahame chadema kwenda ccm ni miaka mingapi, akasema ni miaka minne", aaaaah wakashusha, kufika chini kumbe...