TANZANITE IPO....ata pale shamba la maro..sisi wachimbaji wadogo wadogo tuna -fail ktk vifaa vya kisasa + mtaji.
Bila kafara na matambiko TANZANITE inapatikana. Mungu mwenyewe.
ya Mungu mengi `` Mwanamkonda Kapunda'' .,., naombeni swali la YONGA lijibiwe . namnukuu tena. ()( pole sana hivi, India wanaweza kurekebisha tatizo hili?())
Natafuta mwekezaji katika madini ya TANZANITE, yaliyopo MERERANI, MANYARA, TANZANIA. Mimi ni mchimbaji mdogo mdogo, sina vifaa vya kisasa (ADVANCE TOOLS) eneo lina ukubwa wa eka, stakabadhi zote halali za umiliki ninazo. Nisaidieni wadau.
napatikana: arafa69@outlook.com
NGO magoli, DTB nilipeleka CV yangu tena headquarter ( one month later )wana wa field wakaniambia CV yako ipo kwa secretary kwenye droo,.,.,mean haijapelekwa kwa HR.
wayiiiiiii
Kalagabao kanena jambo,
japo yawezekana ukapata kazi na kuso party time ( madarasa ya jioni ) ila hebu sogea sogea ktk ngazi ya elim, angalau bachelor Degree, ziada refer ujumbe wa MADAM D, BADO NIPO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.