Recent content by Ngaki2016

  1. N

    JamiiForums Tanzania KAMA MMBWAI NA IWE MMBWAI , Wanasimba wenzangu , Ni nani hasa aliyesababisha Amis Tambwe aachwe ?

    Kabisa, yes tambwe anafanya vizuri huko yanga, kumtafuta mchawi saizi haitatusaidia kama simba.
  2. N

    JamiiForums Tanzania VPL : Kagera Sugar Vs Young Africans

    Nilikuwa najua yanga atashinda lakini magoli aliofungwa casillas yamenishangaza
  3. N

    JamiiForums Tanzania Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    Aise wasidhutu kugoma anafukuza wote haaa haaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Kama ndivyo ilivyo hakika tutaisoma namba
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Maana nyingine ni waziri wa kwanza kuisoma namba
  6. N

    JamiiForums Tanzania CUF na CHADEMA, kwanini maprofesa hawapendi kujiunga navyo?

    Mmh! hii post kama haina mantiki anyway how about prof. Safari is he not a professor?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atekeleza agizo la Makonda la ukaguzi wa silaha, apeleka bunduki zake

    Mi nadhan utendaji utapimwa kwa tija ya yale aliyoahidi kwenye ilani, apunguze attention ya magazeti
  8. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakurugenzi Wakuu wa NSSF, TBC na Shirika hodhi la reli (RAHCO)

    Rioba ana kibarua kigumu cha kuitoa TBC ICU.
  9. N

    JamiiForums Tanzania New member

    Hodi!hodi! humu ndani mi mgeni
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mgeni: Hodiii

    Mgeni jamani, hodi! hodi! humu ndani.
Back
Top Bottom