Recent content by ngajone

  1. N

    JamiiForums Tanzania Polisi chukueni hatua kwa wenye nyumba wanaowadhalilisha wadada wa kazi kwa tuhuma za uchawi

    Sawa umenena vizuri lakini tuhuma zingine wanazopewa hawa mahouse maid ni za kweli
  2. N

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Audio za mafundisho yake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Semina za mwalimu Christopher Mwakasege

    Pia mwenye audio za mwalimu Mwakasege aziweke kwenye uzi huu au aje PM
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wachina acheni wizi na mashine zenu za kamari

    Kaka ukitaka kujua huo ni wizi tafuta movie inaitwa TAZZA afu utaelewa kama kamari yoyote ni utapeli tu na wala sio kukunufaisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke

    Kweli kabisa mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Hata me ni mmoja wapo nisio amini naona kama kamovie fulani kana maana yake haiwezekani mtu ulale na mzigo afu kesho yake utembee nao kama vile
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Tatu Mzuka na Biko ni kwa ajili ya bodaboda /mama ntilie /madereva /mkulima tu?

    Me nilishinda laki moja lakini nilitumiwa elf 82 wanadai walikata kodi 18%
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijiwe vya kahawa /draft /bodaboda /karata ni makao ya watu wa TISS

    Kama mimi ofisini kwangu wanakuja wengi tu na ninawafahamu ila sizani kama wao wanajua kama nawafahamu ukiwa mwelewa utawajua mapema sana
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kuchepuka jua kifo chako chaja

    Hili somo ni la kweli kabisa japo kama ni marudio humu JF lakini Asante kwa kutukumbusha
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zina laana ya asili

    Kaka umenena ukweli na umegusa familia nyingi sana kwa huu mkasa ila ilitakiwa utoe somo namna ya kila mtu aweze kujikomboa mwenyewe
  11. N

    JamiiForums Tanzania Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Me wameniita mara 2 nikaenda na semina yao nimesikiliza lakini zote nimewatosa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana Elia Haule amepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Poleni tuzidi kumuombea
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Natamani ningeona behind the scenes ya hii movie ili andaliwaje
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria na kuolewa ili aweze kuendelea kuishi mjini

    Me naona hapa sio shida kuwa na Dhiki au matatizo shida wewe mwanamke ni muhuni tu ieleweke hivyo unathubutu kutoa mwili wako ili upate kitu fulani. Swali je ukitoa mwili afu ukakosa ulichokusudia si utaendelea kugawa mwili kwa wengine kwa kuzania utapata unacho kihitaji Me nafikili ujitambui...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Miwani ya macho

    Mkuu unapatikana wapi ni vizuri ukituelekeza
Back
Top Bottom