AiseeKwenye mahusiano ukiskia mwanamke anasema
"lets break", tuachane kidogo kwamuda kila mtu
ajifikirie kuhusu hili penzi, basi ujue anamaanisha,
labda anakupenda sana ila anachoka na tabia
zako anahisi labda mkitengana kidogo utajifikiria
na kubadilika. Mwanaume kwaupande mwingine
ukiskia anasema "lets break" jua fika
kashakuchoka na anakifaa kingine pembeni
kashakisajili, anataka wewe upishe tu ili
amkabidhi mgeni kitambulisho cha uraia. Hapo
ndio ujue tofauti ya kuzimia na kufa
Alafu unapenda kweli neno kukazia ....Mm nakazia amua kaka yangu
Alafu unapenda kweli neno kukazia ....
nadhani unalink na maana kamili ya hilo neno