Recent content by Ngajilo255

  1. N

    Napataje malighafi ya mchikichi, nataka kuanza kukamua Mafuta

    Poha namba hii utasaidiwa kuhusu Mashine za kisasa za mawese 0682836463
  2. N

    Napataje malighafi ya mchikichi, nataka kuanza kukamua Mafuta

    Boss naomba kuwasiliana na wewe.. Namba zangu hizi hapa: haya WhatsApp pia mkuu: 0682836463
  3. N

    Napataje malighafi ya mchikichi, nataka kuanza kukamua Mafuta

    Mkuu umewaza idea bora sana hadi sasa.. Mimi nafanya hiyo kazi kwa muda mrefu sasa. Lakini pia nasaidia baadhi ya watu wanaopenda kuweza kuanzisha.. Kama unapenda na upo. Serious wasiliana nami na ikiwezekana kuonana notakupa muongozo uliokamilika sana. Tumia mawasiliano haya kuweza kunipata...
  4. N

    Yaani kumzuia tu mke wangu kwenda Moshi nimezua ugomvi!

    WTF.!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. N

    Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Jimbo hilo... Nipo karibu na hiyo kata ya mlimba
  6. N

    Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Karibu Jimbo la Mlimba - Mbingu
  7. N

    Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

    Ilomba-mbeya... Na huduma unafikiwa mkoa wowote ule
  8. N

    Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Duuuuuuuh kazi ipo kwa kweli. Ila sio wote wenye lengo kama hilo. Fursa zingine unakuta ni maelezo mengi ukianza kuongea na kuielezea inaweza chukua hata dk 60+ . Sasa maelezo ya dk60+ yanaweza geuzwa kwenye mawndishi itakuaje??? Bila shaka kitakua ni kitabu kizima. So, la msingi tunasema...
  9. N

    Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Akishaanza huo ufugaji anitafute nimtengenezee machine ya kuchanganya vyakula vya kuku. #Ngajilo255
  10. N

    Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Fursa zipo nyingi Sana. Kuna zile ambazo unazipenda ila kiuhalisia huna uwezo wa kuzisimamia na zinahitaji watu waaminifu ili kuzisimamia na ziweze kusonga mbele na kwa bahati mbaya huna hao watu waaminifu. Kuna zile huna passion nazo kabisa ila kuzisimamia kwako ni rahisi Sana. Inasemwa kua...
  11. N

    Fursa za Mji wa Kigoma

    Kilimo cha chikichi/mawese... Kulima mwenyewe au kujiongeza kupitia kulangua na kukamua au ukihitaji basi nikutengenezee mashine ya kisasa ya mawese nikusimikie site Nzuri uendelee kunywa kuku kwa mrija.
  12. N

    Fursa za Mji wa Kigoma

    Na Akishalima chikichiki aje nimtengenezee mashine za kisasa za kukamua mafuta ya MAWESE na na kubangua mbosa/mise. Karibu.
  13. N

    Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

    Zinatengenezwa kwa oda. Hivyo unasikilizwa details zako mteja unazotaka wewe maelezo yote ndio ijulikane ya aina yako ni ipi na bei itakuaje.
  14. N

    Mashine za kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo na za kutengeneza Pellets

    Tuwasiliane inbox kujua details halisi unazohitaji... Then tufike muafaka
Back
Top Bottom