Recent content by ng'adi lawi

  1. N

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Dr Slaa ni jembe. Yaani Magufuli atakuwa amefufuka na rais atapata usaidizi usio na shaka maana makundi ya ccm hayatawasumbua. Ilani itatekelezwa bila figisu.
  2. N

    Dkt. Slaa: Kipaumbele cha Hayati Rais Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania

    Ili vita dhidi ya ufisadi iendelee rais Samia Suluhu Hassan amteu Dr Slaa kuwa makamu wa rais. Hapo atamsaidia Sana na kazi yake kusimamia miradi itakuwa nyepesi.
  3. N

    Wabunge jitolee mishahara na posho ya 2020

    Wabunge wanalipwa mishahara isiyolingana na Elimu yao Wala majukumu yao. Enzi za awamu ya kwanza uwiano wa kima Cha juu Cha mishahara ya watumishi wa umma ilikuwa 1:9 yaani Tzs100:900. Sasa hivi ni 1:55.5 yaani tzs 270,000:15,000,000! Huo ni uonevu na wizi wa mchana. Haiji akilini kwa nini...
  4. N

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Ubia maana ya ni mgawanyo wa faida baada ya kodi yaani gawio. Fahamu kuwa kampuni ni kama mtu anayejitegemea. Wenye hisa wanaweka pesa kwake ili azizalishe kwa hiyo hata serikali ikinunua hisa ni lzm iweke pesa. Hapo itaweka 16% ya jumla ya mtaji watakaokubaliana na kutakuwa mjumbe wa serikali...
  5. N

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    kondoo ni wale wote wanaotii Sheria bila shuruti. Mangine siyo makanisa ni biashara kutumia biblia.
  6. N

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    Serikali haina dini. Too many walokole bandia. Sofia funga hizo turbali kama hawana vyeti.
  7. N

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    Makonda has overstayed his term in Dar na ndiye wa kuobdolewa. Anampinga kiongozi anayetekeleza sheria kikamilifu.
  8. N

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    Unamwonea. Alichoagiza ni sahihi kisheria. Kuna matapeli wa dini wengi siku hizi. Afunge hayo maturbali.
  9. N

    Tatizo: Hatuna chama hata kimoja kizuri Tanzania

    Kweli hata bila chama maana yeye anapiga kotekote. Hakuna cha ccm wala upinzani kwenye ufisadi. Uadilifu au utendaji kazi.
  10. N

    Utenguzi RC Makonda kwa uamuzi wa DC Sofia Mjema Umebebwa na "Ulokole"

    Ni wakati muafaka DC Sofia Mjema kupewa ukuu wa mkoa wetu wa Dar es Salaam. Makonda amekuwa kero sasa. Anapindisha sheria bila kujali. Sheria ya uchafuzi wa mazingira kwa kelele na sheria ya vileo,sheria ya nguvu kazi nk. Mtu utasalije siku nzima? Utafanya kazi saa ngapi na unsishije? Na huyo...
  11. N

    RC Makonda atengua uamuzi wa DC wa Ilala

    Namshauri Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumunga mkono Mkuu wake wa Wilaya Sofia Mjema katika juhudi zake za kupiga vita uvivu, uchafuzi wa mazingira kwa kelele na kuhimiza uadilifu na maadili mema katika jamii. Ibada za siku nzima katikati ya wiki tena kwa siku nzima na kwa...
  12. N

    Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

    K Kwa hiyo unapigie debe turudi kwenye ufisadi papa? Too late.
  13. N

    Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?

    Rais akihama nao wataanza kuhamia na hasa uwanja wa ndege mpya ukikamilika na huduma zote nuhimu zikiwa tayari. Huko Israel mabalozi wanahamia Jerusalem sasa kutoka Tel Aviv kuifuata serikali. Lkn una sifa zote na uko katikati ya nchi hauna foleni ya magari, umepimwa vizuri haunuki kama Dar...
  14. N

    Hivi kuna ubalozi hata mmoja umeanza kujenga ofisi za ubalozi Dodoma?

    Rais akihama nao wataanza kuhamia na hasa uwanja wa ndege mpya ukikamilika na hudymu zote nuhimu zikiwa tayari. Huko Israel mabalozi wahamia Jerusalem sasa kutoka Tel Aviv kuifuata serikali.
  15. N

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Kuhusu class na mengine ya uendeshaji na ya kisheria mkataba halisi nfiyo utajadiliwa na kuwekwa sahihi. Ila kimsingi Acacia out Twiga in.
Back
Top Bottom