Mwanaume yuko busy kubadilisha password kwenye simu yake kila siku endapo akijua mkewe ameshaijua hiyo password.
Anakuwa mkali hataki mkewe aguse simu yake kwa madai hapendi kupekuliwa hata kama mwanamke hapekui kabisa na wala hafikirii.
Tena ana wivu kwa mkewe vibaya sana hataki mkewe...
Baba yangu alikuwa ni mwalimu,alifariki 2004 na mirathi ilitoka mwaka 2005 kipindi hicho tulikuwa wadogo hatukuwa tunafahamu sana kuhusu mirathi lakini aunt yetu ndio aliyekuwa msimamizi, mama hakushirikishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na ndugu zetu kuwa wababe sana,mirathi ilitoka na kugawanywa...
baba yangu alikuwa ni mwalimu,alifariki 2004 na mirathi ilitoka mwaka 2005 kipindi hicho tulikuwa wadogo hatukuwa tunafaham sana kuhusu mirathi lakini aunt yetu ndo aliyekuwa msimamizi mama hakushirikishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na ndugu zetu kuwa wababe sana,mirathi ilitoka na kugawanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.