Recent content by neyhansy

  1. N

    Mke wangu ananilazimisha kulala bila nguo

    unataka ulale na nguo kwan ww kaka yke?!,?
  2. N

    Vigezo hamna mnataka kazi mtasubiri sana umri nao ndio huo hausubiri

    we mwenyewe unaonekana umebebwa bebwa tu, ninawac wac na chet chako
  3. N

    Natafuta Kazi Yeyote

    Habari zenu wana JF. Mimi ni kijana ambaye nimehitimu Mafunzo ya Uzalishaji wa Mifugo na Afya ya Mifugo katika ngazi ya astashahada, natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na course yangu. Naombeni msaada wenu wana JF.
  4. N

    Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

    pole sana bro, ila chakukushaur uclipe kisasi, we achana nae kabisa, inaonyesha ni jinc gan huyo mschana acvyokuwa hata na tone la huruma, m2 uko kwenye msba alaf tena yeye anakutumia sms yakuachana nae, kwa nn acngekusubiria ukamaliza msiba then ndio akuambie ujinga wke, temana nae, Omba Mungu...
  5. N

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    tatizo ni tamaa zimewajaa baaz ya wanaume, mtu hawez kuridhka na mke wake, ila watambue kuwa watamaliza bucha zote ila nyama ni ileile, zaidi wataambulia maradh tu
  6. N

    Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

    mdada kuwa makin na afya yko....hata kma unampnda vp ucjeukakubal kusex nae bila kupima, au kama vp achana nae mbna wanaume wako wng tu
Back
Top Bottom