Recent content by neyfento

  1. neyfento

    JamiiForums Tanzania Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Umeandika vema na hoja zinajieleza. Kongole
  2. neyfento

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nasaha/maneno yepi ya Baba/ Dingi/ Mshua wako?

    Bonge la advice.
  3. neyfento

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Comment ya kizembe, changamsha ubongo huo siyo unacomment kama unakmblia kula.
  4. neyfento

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Kwani watu mnasomaga mkiwa mnawaza nini, umeelewa intention/goal ya mwandishi au mnasoma kumaliza? Hulala!
  5. neyfento

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Wazee wa kukariri hamkosekani hata siku1.
  6. neyfento

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Wewe unasoma kwa mihemko ila husomi kuelewa intention ya mwandishi. Rudia kusoma uelewe ututolee ujinga wako. Wewe ni miongoni mwa walengwa mnaopaswa elewa hii mada ila kushupaza tu shingo, ptuuuh.
  7. neyfento

    JamiiForums Tanzania Imefikia muda hii nchi pale ambapo Mtu Tajiri anafanya matumizi yake ya kila siku,Masikini wanadhani anafanya anasa. Tafuteni pesai!

    Hapa umenena, hawa watu naonaga makasrko yao wanayashushia kwa wale wanaoona wanajiachia.
  8. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yah, umetoka nje ya box. Good guess
  9. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Hilo tako linawapaga kipi cha ziada, arggghhh...
  10. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Comment ya kijinga kutokea JF, Ficha Ujinga wako maana unatia kinyaa.
  11. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Siyo lazima, mm ni mwanamke na umetumia kauli mbovu so nakuchana ujirekebishe.
  12. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Sasa mbona kama umelia sana kwenye kujieleza, ilikuwa inatosha kusema huvutiwi na wanawake wanene ungeeleweka na siyo kutumia lugha uliyotumia. Wapo wenzio wenye kuvutiwa na hao unaotumia lugha chafu kuwaelelzea. Jitahidi kuficha wehu wako unapocomment hapa JF (umbwa wa head)
  13. neyfento

    JamiiForums Tanzania C.E.O wa Mwendokasi hastaili kuwepo Ofisini

    Umenena vema, swala ni uwajibikaji na nani anamuwajibisha mwingine. Hii nchi hatuko serious kabisa, sasa effort zote za kuweka mwendokasi matunda yake yanakuwa ktk mtindo huu? Ni kama watu ili wapate kuwajibika wanataka washikiwe mitutu, upuuzi mtupu
  14. neyfento

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

    Uko sahihi,
Back
Top Bottom