Recent content by Neybro

  1. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Duuh tuache ujinga,4U movement pengine hata lowasa haijui kama ipo na kama inamsapot maana angejua angesema stop stak mnuharibie,bt 4U movement ni movement wala haipo kwa ajili ya lowsa bali tu unamsapot Lowasa,Wapo Only Lowasa pia,nao ni kundi hata lowasa halijui bt wanamsapot lowasa,usijiumize...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    jaman weken feedback watu mliotumia hii kitu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gospel Singer Angel Benard

    yupo vizur sana huyu dada ktk uimbaji namfaham na ninabaadhi ya nyimbo zake
  4. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awabeza UKAWA na kuwaita "Wasaka Tonge"

    Bila Zitto Chadema ingekua wapi leo??vp ulishawahi kujiuliza na haka kaswali?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nataka kufahamu bei za magari kwa Zanzibar

    Magari gani funguka
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka, 1.8m

    kila la kher nenda ukafanikiwe mkuu ktk biashara yako,hongera kwa kupata huo mkopo Jf bana pazur
  7. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Asante sana nitafanya pia
  8. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Mashaur daaah ngoja nikufate niku pm
  9. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Acha fikra potofu chuma ulete ni pesa zinakua ninapotea tu mala umeweka laki mbili unakuta laki moja,bt mm nina matumiz mabovu tu pesa inaisha naiona So ni matumiz mabaya tu bt kwakua napata elimu hapa ya kusave aisee nimefunguka na itanisaidia
  10. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Daaah nikweli kaka sasa mm huwa natumia nikitegemea zikibaki ndio nisave kitu ambacho hakiwezekan
  11. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Mkuu asante sina elimu nzuri juu ya haya mambo ya hisa asante nitaku pm
  12. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Mkuu sina matumizi ya maana mengi ni kula na kununua nguo pia kutoa tu hela kumpa mtu kirahisi rahisi sijawahi kusema sina hela na huwa nashangaa sana mtu unaenda kumuazima mtu hela unashangaa anasema aisee sina,mm hicho kitu hakipo natoa pesa kirahisi sana na natumia bila mpangilio naweza siku...
  13. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    ngoja nikufuate inbox
Back
Top Bottom