Recent content by NEXTEYE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Canaan alilaaniwa na sio Ham?!

    Unapolaani uzao inabidi unaanza na Lango la familia au ukoo Sasa Kanaani ndo alikuwa Mzaliwa wa kwanza wa Hamu Na Wazaliwa wa kwanza wa viumbe ndio milango ya Familia au Ukoo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kiongozi mwenye mamlaka makubwa duniani kuliko mtu wa aina yoyote

    AROON haha akili yako unaijua mwenyewe. Ila hebu wakristu tuambieni kitu hapa. Muabudu sanamu wa kwanza rasmi alikuwa Musa aliyetengeneza Nyoka la shaba akaliweka kwenye mti si ndio. akasema ameambiwa na Mungu watu walitazame wapone ? Sisi saizi hatuambiwi sijui kwanini hahaha Halafu akafuatia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mhhh! sijui kipi huelewi mkuu. Shetani ni title aliyoipata yule malaika baada ya kuasi na title nyingine nying. Malaika aliumba malaika na walikuwa wema na kumtii Mungu ila alipoasi akabeba hyo jina unasema. Mtu haitwi mwizi mpaka pale ambapo amefanya vitu vitakavyompelekea mtu huyo kuitwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Acha uongo Shetani hajaumbwa. wakati mtu kwenye familia kazaliwa akiwa mwema huwezi sema familia imemzaa mwizi. swala rahisi tu hapo. usipotoshe
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wasabato hawaruhusu wanawake kuwa wachungaji wakati mwanzilishi Hellen White mwanamke?

    Hahah eti hakuna Moshi dah!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Hivi mada yenyewe inasemaje vile??
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Hahaha Joseph Lebai. Nenda urudi hapa na hoja yenye Facts.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Humu ndani kunafaa sana Kupata maarifa.
Back
Top Bottom