Recent content by NewWorldOrder

  1. NewWorldOrder

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    :smokin: Aibu. Masaki Team mnajiaibisha sana.
  2. NewWorldOrder

    Wakati mwingine mtu hujilisha upepo akiamini UKAWA itaishinda CCM

    Mkuu badala ya kuanzisha thread za kujifariji nenda dukani kwa mangi kanunue panadol. Maumivu yakizidi muone daktari.
  3. NewWorldOrder

    Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    Mbona unalialia lia kwani wewe umejipangaje? Tulia dawa iwaingie vizuri.
  4. NewWorldOrder

    Hivi Mengi ni Team Lowassa?

    Mkuu ni sheria ya maisha tu, mwenye nguvu atakula. Hao unaowaita 'mafisadi' ndio waliochora mkakati miaka 10 iliyopita na wakashinda kwa baraka zenu wenyewe. Sasa washindwe nini sasa?
  5. NewWorldOrder

    Ukweli kuhusu wewe na dunia

    New World Order is inevitable.
Back
Top Bottom