Pembezoni ya uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ndo baraha baraha na majengo ya shule ya Msingi Kitangiri ni mwendo wa kwenye majani tuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi huwa nashinda job na jioni mida ya saa moja ndo nawasha sasa sijui wamenisoma na kuseti Kin'gamuzi changu hivo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani takri bani week 2 sasa mchana kutwa Channel zote hakishiki ila ikifika saa 1 jioni zinafunguka zote.
Mbaya zaidi leo siku ya 3 ile channel ya Star Swahili ndo ina scratch sana na haionyeshi kitu.
Ukiwapigia cm wahudumu kila mtu na majibu yake.
Naomba wajuzi wa hizi mambo wanishauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.