Yani hii ni hatari kwa usalama wa uchumi wa nchi asee. Nenda mashuleni watoto wanasomea chini ya miti wamekalia mawe, mahosipitalini kitanda kimoja wawili wengine kulala chini, leo hii tunaendekeza anasa namna hii. Duniani hakuna haki kwa kweli, haki ipo kwa Mungu peke yake. Na siku ya kuondoka...
kula pesa wewe ukiona hii misisiemu inakuletea pesa we kula na mimi nawavizia wakizileta tu nazitafuna na kura siwapi hadi takukuru wanashindwa kulishughulikia hili asee
katiba ya nchi inasema kuwa ili mtu aweze kugombea ubunge ni lazima awe na angalau elimu ya kidato cha nne, sasa mbowe ana zaidi ya kidato cha nne na ni mbunge na amepata fursa ya kupata nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama sasa mnataka kusemaje hapo, lakini mim ningeshauri mbunge hadi waziri na...
Mwacheni TUNDU adadavue ukweli wewe utaendaje mjengoni kule kama ngeli haipandi bana unatuabisha, wakati mwingine tutakutana na mataifa mbalimbali utazungumza kiswahili chako na kiswangish nani ataelewa, kiingereza kiwe kigezo mojawapo wasituletee aibu hapa
Nauliza wajameni maana hili huwa naliona sana, kuna kamtindo ka chama fulani kukiponda chama fulani badala ya kueneza sera kwa wananchi wake na jinsi ya kuleta maendeleo, hii imekaaje asee??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.