Recent content by newoverhere

  1. N

    Natafuta mchumba wa kike

    Umeonaeeeeeeee
  2. N

    Natafuta mchumba wa kike

    Tatizo nilikukataa ndo maana unapondea, utakaa sanaaaa, unalo wewe
  3. N

    Natafuta mchumba wa kike

    Mshukuru Mungu kwa kuwa wewe ni mzuri@HAMY
  4. N

    Natafuta mchumba wa kike

    Hukupendezwa na mm?
  5. N

    Kupunguza uzito

    Kutokula jioni kunapunguza tumbo sana, hata mimi nilikuwa na tumbo kubwa ila limepungua@majigo
  6. N

    Kupunguza uzito

    Huwa naruka kamba mara 200-300 asubuhi na jioni halafu jioni nakula matunda tu. Kama na wewe una uzito mkubwa hii ni njia nzuri sana kupunguza uzito@majigo
  7. N

    Kupunguza uzito

    Shabiki wa arsenal una maanisha nini mkuu@mashaxizo
  8. N

    Kupunguza uzito

    Habari za asubuhi wapendwa, nilikuwa mnene japo siyo sana nikagundua kuwa uzito wangu hauendani na utefu wangu ndipo nikaanza kujipunguza na sasa uzito wangu ni wa kawaida ila cha kushangaza mikono haijapungua hata kidogo. Naomba msaada wenu kama kuna ninachoweza kufanya ili unene wa mikono...
  9. N

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Shukrani mkuu, Mungu akuzidishie kwa kujali afya za watu@mzizimkavu
  10. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    Jmn kwan mtu akisema anatafuta mwanaume bado huwez kujiongeza kujua jinsia yake?@ze jackal
  11. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    Ningepata ningekuja huku kufuata nn?
  12. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    I think u are not serious and u don't need@rogie
  13. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    Guys, naona no one is serious abt this!!! Better 2 quit
  14. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    Picha ntaweka kwa atayen-pm na tukafikia muafaka. Nipo dar na ni mchagga
  15. N

    Looking for a man to marry (seriously)

    Jaman I think cyo lazma kujibu, ndo maana nlisema walio serious tu ndo wani pm, if not serious plz don't
Back
Top Bottom