Looking for a man to marry (seriously)

Looking for a man to marry (seriously)


Umejieleza vyema lakini hujataja jinsia yako ili watu tukajua.

Hii dunia ya Leo tunashudia even Like Poles ziki-attract each other hivyo naomba uweke mambo bayana.
 
Jmn kwan mtu akisema anatafuta mwanaume bado huwez kujiongeza kujua jinsia yake?@ze jackal
 
Jamani nipo serious, siyo mzaha!

Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenzi ya kweli.

Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea,

Awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income,

Mkristo mkatoliki,

Mrefu na siyo mnene sana, awe tayara kuchek afya na asiwe na mtoto,

Asiwe mweupe na pia awe mwaminifu.

Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiasi, siyo mweupe wala mweusi, siyo mrefu wala mfupi.

Mwenye sifa na aliye serious an-pm, no jokes please

Unatafuta kuchezewa wala sio kiolewa umeona wapi mume abatafutwa kama kazi.hao wanaume woote waliokutongoza toka umekua mpaka leo hawafai?, huko unapoishi huwaoni mpaka ujitangaze huku
 
wasiliana na mungu akuumbie hicho kiumbe,na wewe una sifa zipi,utakuta mbayaa hata shape huna ila unavojua kuchagua
 
Jmn kwan mtu akisema anatafuta mwanaume bado huwez kujiongeza kujua jinsia yake?@ze jackal

Inaonyesha una mapungufu pia maana sio lazima kila mtu umjibu hyo ni discounting factor ww unashida halafu unaleta ubabe inabidi upitie kitchen party hta kwa wenzio u look mbabe n rather thn serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom