Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,899
- 28,009
Hapo kwenye red
Mungu akujalie upate mtoto kwenye hiyo ndoa unayoitegemea.
Mbona sioni hiyo red colour...??
Hapo kwenye red
Mungu akujalie upate mtoto kwenye hiyo ndoa unayoitegemea.
I think u are not serious and u don't need@rogie
Jaman nipo serious, cyo mzaha! Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenz ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea, awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income, mkristo mkatoliki, mrefu na cyo mnene sn, awe tayar kuchek afya na acwe na mtoto, acwe mweupe na pia awe mwaminifu.
Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiac, cyo mweupe wala mweuc, cyo mrefu wala mfupi. Mwenye cfa na aliye serious an-pm, no jokes plzzzz!!!
Jamn kama nipo serious I hope nitampata aliyeko serious km mm, na Mungu yupo kila sehem hata humu jf yupo.
I think u are not serious and u don't need@rogie
Jaman nipo serious, cyo mzaha! Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenz ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea, awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income, mkristo mkatoliki, mrefu na cyo mnene sn, awe tayar kuchek afya na acwe na mtoto, acwe mweupe na pia awe mwaminifu.
Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiac, cyo mweupe wala mweuc, cyo mrefu wala mfupi. Mwenye cfa na aliye serious an-pm, no jokes plzzzz!!!
Hivi huko mtaani haujapata? mpaka uje humu jamvini

Picha ntaweka kwa atayen-pm na tukafikia muafaka. Nipo dar na ni mchagga
Jamani nipo serious, siyo mzaha!
Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenzi ya kweli.
Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea,
Awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income,
Mkristo mkatoliki,
Mrefu na siyo mnene sana, awe tayara kuchek afya na asiwe na mtoto,
Asiwe mweupe na pia awe mwaminifu.
Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiasi, siyo mweupe wala mweusi, siyo mrefu wala mfupi.
Mwenye sifa na aliye serious an-pm, no jokes please