Recent content by NewOrder

  1. N

    Rais Samia: Tumeiomba Uganda iunganishe SGR kuanzia Lusahunga hadi nchini mwao

    Kwa distance reli ya kwenda Rwanda haiwezi kutoka Kigoma. Hiyo ya Uvinza-Malagarasi-Musongazi itakuwa imekusudia Burundi/DRC. Rusahunga iko karibu na Isaka-Rusumo (SGR Tabora-Mwanza) na Uganda kuunganisha kutoka Rusahunga ni wazo sahihi. Shida ni hii - tuna mipango mingi na mizuri lakini...
  2. N

    Rais Samia: Tumeiomba Uganda iunganishe SGR kuanzia Lusahunga hadi nchini mwao

    Ninakuelewa. Nina masikitiko makubwa sana kuhusiana na Isaka. Imepita miaka 20 toka nishiriki katika mchakato wa reli kutoka Isaka kwenda Rusumo. Lakini kama kuna mazungumzo kuhusu Rusahunga-Murongo, hii ni habari njema. Maana yake Isaka-Rusumo iko katika mpango. Sasa naweza kwenda kwetu Murongo...
  3. N

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Kama taifa kuna sehemu tumekosea na tunaendelea kukosea. Hata kuiga tu, tumeshindwa!!
  4. N

    GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mkuu, kuna dhana hii “start with the end in mind”. End game ni hii, Lissu kushinda kesi kwa sababu ya kukosa haki ya kupata vielelezo kutoka upande wa mashtaka na kutoweza kufanya cross-examination. Kwa hiyo utetezi wake utaleta mashaka katika shauri zima kwa sababu hizo na mashaka hayo...
  5. N

    Uwekezaji tunaupenda sana, ila kwanini wawekezaji wanakuja kuwekeza kwenye miradi iliyoiva?

    Mkuu, Boston Consulting Group Growth Share Matrx ina Cash Cow, Star, Question na Dog stages. Kila mwekezaji anataka hiyo cash cow kwa sababu market share ni kubwa kuna kiasi kidogo cha investment katika marketing. Hawa wawekezaji wako sahihi katika kiwekeza kwenye miradi iliyoiva - wanapata...
  6. N

    Pongezi Waziri Silaa kumsimamisha Mkurugenzi wa Maendeleo ya Makazi vituo vya Mafuta vinajengwa katikati ya Makazi

    Sijaelewa mlalamikaji kama anataka vituo vya mafuta viwe nje ya miji au analalamikia vituo kuwa karibu. Au hata anasema mabadiliko ya hati ya matumizi hayaruhusiwi. Analalamika zaidi kama vile hataki ushindani kuliko kuonesha taratibu hazikufuatwa!!
  7. N

    Paul Makonda amkabidhi Prof Jay millioni 20 ,Atoa ahadi nzitoo ya kumtafutia nyumba upanga ili kuwa karibu na hospitali.

    Kujifunza kuchukua pesa za serikali kumpatia mtu? Ninaona kula lawama kwa Chadema, au kwa kuwa hawatangazi wanachofanya kwa Jay?? Ni kweli unataka Chadema ichangie taasisi binafsi ya Jay? Vipi na taasisi nyingine za watu wengine? Nazo pia wachangie? Watafute nyumba upanga halafu walipoe pango...
  8. N

    Tanzania yasaini mikataba ya Kuuza Hewa Ukaa kutoka Hifadhi 6 za Taifa, UAE na Mo Dewji ndani

    Swali zuri kwa sababu naona jamaa kaelezea maana tu ya jambo zima bila kufananua faida za credit yenyewe. Kiasi cha gesi ukaa kinachonyonywa na misitu kitapewa thamani ya kifedha na fedha hizo hazitakuwa fedha za kukabidhiwa serikali bali credit kwa bidhaa za nishati zinazozalisha gesi ya ukaa...
  9. N

    Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

    Huo ndio ukweli!! Safari, makongamano, warsha, mafunzo ndio vyanzo vikuu vya matumizi makubwa ya serikali. Hatujaweza kuthibiti matumizi, na ikiendelea hivi - hakutakuwa na mapato yatakayoweza kutuletea maendeleo!!!
  10. N

    Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Sini ilitumika kama hadaa toka mkoloni anajiandaa kutukalia. Itaendelea kutumika kwa hadaa na watu wanaotafuta public sympathy! Tukumbushane! Wakati wa mambo ya bandari - viongozi wa dini waliambiwa siasa na siasa zisichanganywe! Leo ni hao viongozi wa dini wakitumika kuombea shughuli za...
  11. N

    Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Kwani hakuna idadi ya juu kabisa ya kujisahihisha halafu tukasema basi? Au ni saba mara sabini? Nisiambiwe hapo nimechanganya siasa na dini!! Ukweli ni huu - imeshaonekana wazi hata tunapopigwa hakuna anayeadhibiwa, watu wetu wenyewe wameweka mikataba yenye masharti dhaifu ili kutengeneza...
  12. N

    Mahakama Yakubali Ombi la Mhasibu Kupinga Uamzi wa Rais Samia Kufukuzwa Kazi

    Kwani jamaa ndio karudishwa kazini? Hivi vijana wengine uhovyo wa kiwango hiko mnaupata wapi? Unarukia jambo nusu katika kutaka kuelezea jingine kwa ukamilifu. Kwa akili yako unaona hili linafanana hata na kesi ya Mbowe?? Unaona Yona na Mramba waliopotezea 232B ni sawa wakahukumiwa kifungo cha...
  13. N

    CHADEMA Haina Mtu Anayeweza Kushindana na Rais Samia katika Sanduku la Kura uchaguzi Ujao

    Mkuu, uko na kiwango cha kutojua na kujipendekeza cha kiwango cha juu sana!! Katika hali ya kawaida kabisa, unawezaje kulinganisha embe na chungwa na kusema moja ji tamu kuliko lingine?? Nilidhani ungekuwa na ufahamu na ukalinganisha embe ya Tabora na ya Morogoro, kwa mfano! Kwq mantiki...
  14. N

    Kama misingi ni kutochanyanga dini na siasa, ilikuwaje CCM ikampitisha Askofu Gwajima kule Kawe?

    Unafiki wa serikali ndio chanzo cha matatizo! Inakubali uwepo wa dini mbali na hata kufikia kuzisajiri. Inazitumia katika maendeleo ya jamii. Inazitumia katika chaguzi. Serikali inatumia “muogopeni Mungu”. Inaita hata viongozi wa dini katika shughuli zake. Dini nazo zinaita viingozi wa serikali...
  15. N

    Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Ni kama ukienda kucheza miaka mitatu SAUTI. Walipoenda walienda kama TEC, BAKWATA na CCT. Hawakwenda kama taasisi moja bali tatu. Unatarajia kwa utofauti wao pia watoe maoni yao kwa njia moja, wakati mmoja, namna moja?? Huku wakiwa hawana ushawishi wa aina moja, msukumo mmoja na ujasiri wa aina...
Back
Top Bottom