Recent content by newkaboy

  1. newkaboy

    JamiiForums Tanzania Ni home theatre music system ipi nzuri?

    Naomba ushauri kwa wanajamvi wazoefu kwenye vifaa vya muziki Nahitaji home theatre music system. Je, ni aina gani nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. newkaboy

    JamiiForums Tanzania Spika akataa swali za Suzan Lyimo kuhusu watumishi kutolipwa malimbikizo baada ya ahadi ya kupandishwa vyeo mwezi huu

    niwakati wa kupambana na kuacha kulia..... serikali inabid ishutuliwe na mgomo nchi nzima
  3. newkaboy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, Nina ujuzi wa Uuguzi na Ukunga ngazi ya diploma

    Ndugu wana JamiiiForum.. Mimi ni muuguzi na mkunga ngazi ya diploma natafuta sehemu yeyote wanayohitaji muuguzi au mkunga nifanye kazi. Tafadhali mwenye taarifa au mawasiliano na mtu au taasisi ya kiafya inayohitaji muuguzi anijulishe kwa kucoment chini ya post
Back
Top Bottom