Spika akataa swali za Suzan Lyimo kuhusu watumishi kutolipwa malimbikizo baada ya ahadi ya kupandishwa vyeo mwezi huu

STANDING ORDERS FOR THE

PUBLIC SERVICE 2009



THIRD EDITION

Published by Authority

Pursuant to S.35 (5) of the Public Service Act, Cap.298




D.52 Probation Period following Promotion:



(1) Where a public servant is promoted to any post in the public service, that public servant shall for the period of six months (exclusive of any period of leave) from the date upon which the promotion became effective, be deemed to be on probation.



(2) Where the immediate supervisor is of the opinion that the public servant has failed to perform satisfactorily all the duties of the post to which he was promoted, he shall give the public servant a notice in writing calling upon him to show cause, in writing, why his promotion should not be withdrawn.



(3) Where a notice is given to a public servant under paragraph (2), the immediate supervisor shall:-



(a) if the public servant has made any representations in writing pursuant to the notice, forward such representations together with his own report upon the public servant‟s conduct, ability, diligence, aptitude and any other relevant factor to the appointing authority;



(b) if the public servant fails to make any representation, report such failure to the appointing authority and also furnish the appointing authority with a report on the public servant‟s conduct, ability, diligence, aptitude and any other relevant factor.



(4) After considering the report and representations, forwarded under paragraph (3) if any, the appointing authority may direct that:



(a) the public servant‟s promotion not be interfered with;

(b) a decision in the matter be deferred for such further period as the appointing authority may direct so as to allow the public servant further opportunity to prove his suitability for the post to which he was promoted; or



(c) The public servant‟s promotion be withdrawn.


(5) Where no notice has been given under paragraph (2) within the period of six months (exclusive of any period of leave), the public servant shall be deemed to have completed his trial period satisfactorily and he shall be served with a letter of confirmation within one month after expiration of the trial period.



(6) Subject to the provision of paragraph (5), where a public servant is not confirmed within the prescribed period, he shall have the right to enquire on his confirmation status.
 
Kiuhalisia serikali haijapandisha mshahara mwaka huu Bali ilipandisha mshahara mwaka 2016, halafu utekelezaji wake ukasitishwa! Si haki kubadilisha barua hizo, maana lengo halisi LA kubadilisha barua hizo ni kutaka wahusika wasilipwe malimbikizo! Mungu wa mbinguni anaijua mioyo!
 
mambo kama haya kwa kweli ndo yanapelekea watu kuamini kuwa bunge halifanyi kazi ipasavyo kuisimamia serikali!
 
Nimeshangaa sana aiseh!!

Spika ndugai kalikataa hilo awali akidai hiyo baruya katibu mkuu sio awali la kisera tena akidai maswali hayo ni mengi.

Utata wangu ni huu
Hivi ndugai ni waziri au spika?
Hivi inakuwaje MTU hujaulizwa unajibu je, ukiulizwa utafanya nini?
Hivi hajui kuwa hilo swali lilikuwa muhimu kwetu wafanyakazi kujua hatma ya haki zetu tulizozikosa for two solid years?
Kiukweli vitu hivi vinatuboa sana

Source TBC1 bungelive @0920hrs
Raisi kishasema tunasonga mbere, kama huwezi achia ngazi waajiriwe wengine
 
I
Amesema wewe kama bado upo hapo kitunduni Lumumba hakikisha unachukua buku saba zako kabla ya kuingia kazini kwani kifuru fumbi cha Zimbabwe kiko njiani kuja hapo lumumba

Amesema Mugabe ameondolewa na JESHI kutumia vifaru vinne na ccm Lumumba mtatolewa na wafanyakazi na wakulima wakitumia vizuri jenbe na nyundo zao walizoshikiria zàidi ya miaka arobaini (1977-2017) mikononi mwao
 
Nimeshangaa sana aiseh!!

Spika ndugai kalikataa hilo awali akidai hiyo baruya katibu mkuu sio awali la kisera tena akidai maswali hayo ni mengi.

Utata wangu ni huu
Hivi ndugai ni waziri au spika?
Hivi inakuwaje MTU hujaulizwa unajibu je, ukiulizwa utafanya nini?
Hivi hajui kuwa hilo swali lilikuwa muhimu kwetu wafanyakazi kujua hatma ya haki zetu tulizozikosa for two solid years?
Kiukweli vitu hivi vinatuboa sana

Source TBC1 bungelive @0920hrs
Jamani hivi mnafahamu maana ya nchi kufirisika ?
 
Leo sidhani kama alikuwepo illa hili swali la mama Suzan Lyimo ni moja ya maswali niliyokuwa nataka KUB ayaulize.
Lini umewahi kumsikia akihiji na kutetea Watumishi wa Umma?
Huyi hawajali kabisa watumishi. Sasa hivi anachofanya ni kugawa taifa na hoja za kuwa watu fulani wanapendekewa lkn kipindi kile Nagu anashutumiwa kuwa idara fulani zimejaa watu wa Kaskazini hakuthubutu kuliongekea waka kusema ni unaguzi,ukabika nk
 
Hivi wafanyakazi (wale wenye akili) si wameshajua kuwa adui wa maslahi yao ni Ndugai na serikali ya ccm?
 
Back
Top Bottom