Recent content by newdiplomat

  1. N

    Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Unataka kutuhaminisha usalama wa taifa wa nchi hii umeshindwa kiasi hicho? Huko ni kushushia hadhi vyombo vyetu vya usalama.
  2. N

    Nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, nifanyeje?

    Ndugu zangu, nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, naomba kujulishwa utaratibu ukoje kama hajakupa taarifa za kukulipa baada ya ule muda wa siku 14 wanazopewa kuisha?
  3. N

    Jipu lingine la kutumbuliwa ni mahakama ya kazi - CMA

    Jamani kama tujuavyo katika nchi mbalimbali sehemu pekee ambapo wafanyakazi wanapata haki zao ni kwenye mahakama za kazi CMA na ndivyo ilivyo kwa Tanzania pia. Kutokana na kutokua na mfumo mzuri wa ufuatiliaji sheria za ajira nchini kwetu Tanzania na waajiri kujiamulia mambo watakavyo kumekua...
  4. N

    Nafasi za Kazi UN Tanzania

    Si kweli mkuu. Mimi ni mfano hai nimetoka kwenye interview yao leo na nilisoma tangazo humu humu, kama una vigezo wanakuita tu.
  5. N

    Nafasi za Kazi UN Tanzania

    Nimekuja kushukuru in advance. Nilisoma hii thread na sikudharau nikaaply. Leo tumefanya first interview. Hata kama sitapata kazi lakini kwangu ni heshima kubwa mno kuwa shortlisted na shirika kubwa duniani. Thank you mleta thread tuendelee na moyo huu wa kusaidiana watanzania.
  6. N

    Msaada Oral interview crdb bank !

    Oral interviews nyingi maswali ni yaleyale unless kama ni technical job. Nenda google search sample interview questions and answers kwa position uliyoapply utapata msaada mkubwa.
Back
Top Bottom