newdiplomat
Member
- Nov 17, 2015
- 6
- 5
Ndugu zangu, nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, naomba kujulishwa utaratibu ukoje kama hajakupa taarifa za kukulipa baada ya ule muda wa siku 14 wanazopewa kuisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje wataalam wa haya maswala.Ndugu zangu, nimeshinda kesi yangu dhidi ya mwajiri wangu wa zamani pale CMA, naomba kujulishwa utaratibu ukoje kama hajakupa taarifa za kukulipa baada ya ule muda wa siku 14 wanazopewa kuisha?