Recent content by newbie

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lucky Spin

    ndogo sana mkuu, jamaa watakuwa wazushi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuitambua namba 555

    Ni kampuni ya ulaya, hata mimi nimepigiwa simu na week ijayo naenda kwenye interview ulaya.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Lucky Spin

    Hawa jamaa wanaitwa Lucky Spin wapo pale IT Plaza(Dar) wametangaza kazi upande wa IT na inabidi uende na CV na vyeti kwa ajili ya interview kabisa na sio kutuma kwa posta au online. Tangazo lipo hapa IT Support Desk Job in Dar Es Salaam, Tanzania au soma hapo chini. Kwa aliyeenda au atakayeenda...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namba hii 00025515577

    wapigie haraka uende kazini
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namba hii 00025515577

    TRA, umeitwa kwenye interview
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni kejeli isiyovumiliwa kwa Prof. Tibaijuka au ni haki ya kutoa maoni?

    amechorwa mtume wao sembuse tibaijuka?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Stara Thomas mbona kimya ?

    mmh anakukuna?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli/mwizi 0657105692 nitamfunga au kumfanyia kitu kibaya.

    Naona huyu mtu anajiita Frank amesajili kwa FRANK JOSEPH bado anaendelea na utapeli wake kwenye mambo ya ajira na sasa amekutana na mimi. Nimetuma CV juzi kwenye kampuni ya DIMENSION DATA LTD nafasi ya Data entry officer, leo hii namba 0657105692 inatuma msg hii "Hallo, am Mr. Frank from...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    YACIN- Promising Talent of the year
  10. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    Mwakani anashinda Okwi au Sserukum*
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    Kaimba My number one ila Davido hakuwepo japo imefanyika Nigeria
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    MCHEZAJI BORA WA MWAKA NI YAHYA TOURE. Walioshindana ni (1)Jamaa wa gabon,(2)Vicent enyeama nigeria,(3)Yahya Toure
  13. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    Sasa anaperform ASEMI kutoka GHANA halafu P SQUARE kutoka NIGERIA.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    Referee wa mwaka katoka GAMBIA jina gumu kidogo. Football leader of the year- MOISE KATUMBI mmiliki wa TP MAZEMBE
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri LIVE- Glo CAF Awards 2014

    Young player of the year- ASISAT OSHOALA NIGERIA Kocha wa mwaka- K Madui wa ES SETIF ya ALGERIA. sasa anaperfom FALLY
Back
Top Bottom