Hamna mkuu, yeah ni wa huko huko lakin haishi huko na jina halianzi na hiyo herufi.
Yeah anaonekana kuwa smart na hana aibu kwenye mishe mishe za pesa, ni mzuri balaa, ila alizaa kipindi cha sec. Na mtoto ni mkubwa sasa.
Sio mtu wa bata saana ni ile hali ya kawaida ya wadada, ni mzuri bt...