Nina vitu vichache vya kukwambia mdogo wangu kabla haujaingia hilo shimo. Ni kweli kwamba watu hubadilika na kubadili tabia ila tahadhari ni muhimu...... Ushauri wangu ni kama ifuatavyo.
1. Ukitaka kujua watoto wako utawapatia mama wa aina gani na atawapa mafunzo gani, tazama ujana wa mwanamke wako ambae unataka mfanya kuwa mama wa watoto wako. Huyo mwanamke tayari anadosari nyingi za kimaadili, ameshavuta bangi, amezoea vilevi, ameshalala na mwanaume zaidi ya m'moja na kuzaa mtoto juu.
Hii ndio image watayopata watoto wako wa kike maana ndio mfano wa mama yao. Kama una akili utakuwa umeshanielewa hadi hapo.
2. Wanawake wa kisasa wanaongozwa na shetani katika maamuzi yao na haya ni matokeo ya kuacha kufuata mafunzo ya kiimani na kukaa mbali na vitabu vya MUNGU. Wengi hutumia mitandao ya kijamii kama reference ya maamuzi na sehemu ya kujifunzia. Marole model wao pia si mifano ya kuigwa sababu ni makahaba, wadangaji, wazinzi na watomvu wa nidhamu wasio na maadili. Huyo mwanamke wako anaonekana yupo katika mstari huo sasa kama unataka watoto wako ndio uwapatie mama wa namna hiyo sijui utakuwa unawaza nini.
3. Mwanamke wa kisasa mwenye tamaa yupo tayari kula hata kinyesi ili tu kupata anachotaka kulingana na tamaa unamwambia nini. Mwanamke huwa anaikana hata utu wake anapokuwa anatamania kitu. Wengi wanaingiliwa kinyume na maumbile, wanazaa na waume za watu, wanalala na wanaume zaidi ya m'moja kwa siku yote ni kwasababu ya tamaa.
Huyu ulienae sioni tofauti nahisi ana lake jambo limemleta kwako. Huo utayari si wa kawaida na kwa umri aliopo inaonyesha ameona afe na wewe kabla hajafeli. Ila ujiandae akishapata kilichomleta in the future atakuruka futi mia na kurejea asili yake....
Ndio maana unaona vijana ni marufuku kuoa barmaid, au wanawake wa sampulu fulani sababu wanawake ni ngumu kuacha asili zao... Wanatulia kwa muda kisha wanarejea.
Kuna mzee alioa Barmaid. Yule mama akimuona anaonekana ni mstaarabu tu ila sasa tazama mabinti zake. Anamtindo wa kuwashauri vitu vya kipumbavu sijawahi kuona...... Mama anasapoti kudanga.... Anawafundisha mabinti zake kuishi kiumbwa umbwa.....
Sent using
Jamii Forums mobile app