Mmmh.... Flora flora kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe. Hakuna kusaidiana dhambi, mumuache maana kama ni dhambi hawezi kukupa umsaidie.
Vile vile "Hapangiwi anautumia mwili yake na akili yake mwenyewe"
Hapana mkuu huwezi kukatia bima hizo suti zako.
Ndio unaweza kukatia bima nyumba ambayo iko under construction, bima yake itakuwa "Contractors all Risks insurance cover"
Ndio inalipa sana kulingana na utafutaji wako wa masoko (marketing). Mawakala hupata commission ya kila bima wanayoikatia. Commission hizo huanzia 10% na kuendelea.
Pia hutofautiana kulingana na aina ya bima iliyokatwa. Kuna magari, moto, wizi na nyingine nyingi .
Bima hizo huitwa Third Party Insurance cover, third party ni mtu wa tatu. Mtu wa kwanza ni Kampuni ya bima, mtu wa pili ni wewe mteja wa bima na mtu wa tatu ni yule utakayemfanyia uharibifu wa mali yake.
Hivyo basi tatizo au ajali ikitokea Kampuni ya bima itamlipa mtu wa tatu yaani Third Party...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.