Recent content by New Eyes

  1. N

    Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia walimu wa kujitolea

    Naomba serikali itukumbuke na kutuzingatia. Ni mwalimu wa kujitolea nafundisha shule ya sekondari. Huu ni mwaka wa Tano naingia tangu nilipoanza kufundisha kwa kujitolea. Natembea kilometa 10 natumia masaa mawili kwenda na mawili kurudi Kila siku. Nafanya hivyo kwa kuwa naipenda kazi yangu...
  2. N

    DOKEZO TFF acheni ubabaishaji, wapeni watu hela zao

    Ni aibu taasisi kubwa kutoa zawadi kwa ahadi alafu inachukua muda mrefu bila kuwapa wahusika.
  3. N

    Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka

    Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka. Unakuta tangazo la ajira lilikuwa linataka wanaotakiwa kutuma maombi waliomaliza kuanzia 2012 had 2019 lakini utakuta baadhi ya waliopata ajira wamehitimu 2020 had 2021 na waliomaliza ndani ya miaka husika wamekosa.
  4. N

    Serikali itoe boom la mtaji kwa Wahitimu wanapomaliza chuo

    Serikali ingefanya mpango wa kuwapa boom la mtaji kwa wanohitimu vyuo vikuu. Baada ya graduation graduates wote wapewe boom la kwenda kuwasaidia kuanzia maisha mtaani. Hii ingesaidia kujiajiri kwa vijana punde baada ya kurudi mtaani.
  5. N

    TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Serikali imejenga shule nyingi mpya. Ambacho hakijanipendeza ni kuona inawapa nafasi walimu waajiriwa kwenye hizo shule lihali walimu tusiokuwa na ajira na tunajitolea mwaka watatu sasa hatupewi fursa. Ushauri wangu serikali itutazame kwa jicho la tatu tunaojitolea maana moyo wa kujitolea...
Back
Top Bottom