Hiyo inatokea kama makubaliano ya awali yanakuwa hajakaa vzuri.... kama kila mtu akiwa muwazi na wanasheria wamechukua nafasi yao vzuri akialibiki kitu
Ni kweli ila kuna baadhi ya matukio katika maisha huwezi ukayazuia .. kwa sababu yanakuwa yana dalili ya kubeba hatma ya maisha yako kama yakienda kama inavyo takiwa ila yakipinda tu unajikuta umepoteza direction ya maisha k
Wadau,
Mwaka jana nilikuwa nilikuwa nko katika msongo wa mawazo ambao ulinipelekea kujiona kama vile Nimechelewa na looser fulan kwa sababu nlikuwa naona umri (30) wangu na kiwango cha mafanikio niliyonayo haviendani kabisaa na sina kipato cha uhakika na kinachoeleweka, nkaona isiwe tabu ngoja...
Mama yang alkuwa ananiambia...
Mwanangu ombea sana maisha yako
Omba kwa ajili ya mke utakae pata
Omba kwa kwa ajili ya watoto utakao pata
Omba kwa ajili ya moyo wako
Pia aliniambia ukumbuke hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu
.....
Mama ni mkristo na anampenda sana MUNGU....
Tutofautishe kwanza ...kisha ndo tunaweza ongea lugha moja
Njia ya mtoa mada imekaa Spiritual haina improvement yan hiyo ndo iko ivoo na results yake
Lakn hiyo MFANO apo juu sio Spiritual
Iyo ya kukaa kwenye kinu... hahaha Jino lkkuuma mzee mwenzangu kaa kwenye kinu mzee ungoe alafu utuletee...
Nmeasoma jujuu ila nmekuelewa
Kuna mambo unatakiwa kujua juu ya utoaji
Kuna sili kubwa sana katka utoaji
Na sili aipo katk unachotoa
Sir ipo ndan ya Aman ya utoaji... unatakiwa uwe na brain fulani iv kuona na kuelewa iv vtu
...................
Ok point yang ya msing ni ..
Yakobo 1 : 12
Dini...
Mwaka Jana nmeota sana ndogo hiz Za shule
Nmemaliza darasa la saba 2004 form 4 na 08
Ila ndoto hyo ilkuwa inaeleza baada ya kumaliza sekondary ...sijajua apa kuna mchanganyiko wa hisia Za nliambiwa nlud kusoma lasaba au n mm mwenyewe nmeamua kulud kusoma la saba..
Ndoto mara nying ilkuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.