Unaweza kuonya mtu kila siku ya mungu? Asubuhi jioni? Monday to Friday? Kwa hivyo nyumba haitaisha magomnvi maana kila ukimshauri mtu mnagombana, so ulitaka tugombane daily kwa kumshauri
Kwa nn tunaangaika kumtafuta mchawi hapa? Na mchawi anajulikana ni yeye mwenyewe
Narudia tena hukusoma vizuri
(1) hivi sasa anaugulia kwa nani? Kwangu
(2) siku alipopata matatizo nani alizunguka usiku kucha kumtafuta? Hadi kumkuta huko gueast alikokua? Mimi
(3) huduma zote anazopata tangu hospital hadi sasa nyumbani nani, washauri wanaokuja na kadhalika, msimamizi mkuu ni...
Who is seeking revenge? And against who?
You have missed the point my friend, go back to my writings and read line after line
As for divorce
Yes am doing it, right now, am just waiting for things to cool down a little bit
Ina maana walioachana wote duniani wakaanza upya hawana furaha?
Kwa nn...
Hawa watu, waliteswa sana hadi wakafunguka ukweli, bahati mbaya siwezi kuweka hizo taarifa hapa bado polisi wanazi treat kama sensitive information, walisema watatueleza
Ila kuna mtu mmoja aliwahi kunipigia simu na kuniambia nimuonye mke wangu na akakata simu na haikupatikana tena...
Kaka nimepokea ushauri wako, niliweka maazimio makali sana moyoni dhidi ya huyu mke wangu, anyway tuombeane tu, nashindwa la kusema kwa sasa, nashukuru sana kwa ushauri ambao ni very balanced
Bahati nzuri upelelezi kwa sehemu kubwa umekamilika na umeonesha pasiposhaka perpetrators Wa uhalifu huo, Vodacom na TCRA wamesaidia sana kukamatwa watu hao
Ni kweli Nina hasira sana, ni kwa sababu jambo kubwa linatutokea ambalo lilikua ndani ya uwezo kulizuia lisitokee
Mtu unamwambia ule ni moto anaamua kwenda kuweka mguu hapo hapo,
Mwisho wanakuja watu kukulaum ww uliemtahadharisha asipite kwenye moto
Otherwise nashukuru kwa uelewa, infact...
Nakushukuru mkuu kwa uelewa wako mwepesi, Nina hasira sana kwa sasa na siko vizuri kichwani, nitakapotulia nitafanya kuchambua upya situation nzima na kuona cha kufanya
Nakushukuru sana kwa kuwa muelewa, nikuhakikishie tu kwamba sijawahi kuwa na mbovu, watoto wangu pia wanafahamu hili nalosema, wakitumwa baba bora Wa familia wanaweza kunipeleka Mimi, unfortunately mwenzangu aliutumia vibaya utu na uungwana wangu
Kuhusu yesu, nitakata shauri kumtafuta
Nahitaji muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.